Kocha wa zamani wa Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania Luis Enrique amefiwa na mwanae wa kike Xana Enrique akiwa na umri wa miaka tisa baada ya kuugua ugonjwa wa kansa ya mifupa kwa muda wa miezi mitano.
Mwezi Juni mwaka huu, Luis Enrique aliiacha kazi ya kuifundisha timu ya Taifa ya Hispania ili kupata muda wa kumuuguza mtoto wake.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇