Dereva mwenye gari lenye namba za Usajili T 502 AST katikati akijaribu kumkunja flana Dereva mwenye Gari lenye namba za Usajili T 841 DQB baada ya kuparami gari hilo akijaribu kumfukuzia na kumuita Askari wa Usalama Barabarani kwa sauti aliyekuwa eneo la mataa ya Mnazi Mmoja Dar es Salaam Agosti 10, 2019. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Dereva mwenye Gari lenye namba za Usajili T 841 DQB akimlalamikia Dereva mwenye gari lenye namba za Usajili T 502 AST baada ya kusababisha ajali Barabara ya Living Stone na kukimbia mpaka Barabara ya Lumumba eneo la mataa baada ya kuitwa Askari kwasauti ya juu na Dereva mwenye Gari lenye namba za Usajili T 841 DQB
Gari lililosababisha ajali likiwa eneo la Barabara ya Lumumba
Askari wa Usalama Barabarani akiwa eneo la tukio Barabara ya Living Stone
Wananchi wakiamulia ugomvi baada ya Dereva mwenye namba za Usajili T 841 DQB kulia aliye vaa flana nyeupe kupigwa kibao na Dereva mwenye gari namba za usajili T 502 AST eneo la Living Stone Dar es Salaam.
Baadhi ya Wananchi na ndugu wa Dereva wakimlalamikia kwa kitendo cha kuchukua sheri mkononi kwa kumpiga kibao dereva mwenye gari lenye namba za usajili T 841 DQB
Dereva mwenye gari lenye namba za usajili T 841 DQB akijifuta machozi baada ya kupigwa kibao na Dereva mwenye gari lenye namba za usajili T 502 AST
Your Ad Spot
Aug 10, 2019
DEREVA APATA KICHAPO BAADA YA KUPIGWA PASI GARI LAKE
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇