Diwani Viti Maalum (CCM), Amina Yakubu (kulia) akizungumza jambo wakati wa hafla fupi ya Ziara ya kuzungumza na viongozi mbalimbali wanawake katika Ukumbi wa Kumbya uliopo Kigamboni Dar es Salaam leo July 18, 2019 ajili ya Mikakati ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 ili kufanikisha ushindi ndani ya chama. kuanzia kushoto ni Mwenyekiti U.W.T Kata ya Vijibweni, Mwanahamisi Mahenge na Kaimu Katibu U.W.T Wilaya ya Kigamboni, Jamilla Salum. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Katibu wa CCM Kata, Shabani Dololo (kushoto) akifafanua jambo wakati wa hafla fupi ya Ziara ya kuzungumza na viongozi mbalimbali wanawake katika Ukumbi wa Kumbya uliopo Kigamboni Dar es Salaam leo July 18, 2019 ajili ya Mikakati ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 ili kufanikisha ushindi ndani ya chama.kuanzia kulia ni Diwani Viti Maalum, Amina Yakubu, Kaimu Katibu U.W.T Wilaya Kigamboni, Jamilla Salum, Mwenyekiti U.W.T Kata ya Vijibweni, Mwanahamisi Mahenge na Katibu U.W.T Kata ya Vijibweni, Halima Abdallah
Mmoja wa mwanachama akizungumza alivyotekwa na Ukawa na kufanikiwa kurudi ndani ya chama hicho
Your Ad Spot
Jul 18, 2019
ZIARA YA MADIWANI VITI MAALUM CCM
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇