Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akibonyeza kitufe, wakati akizindua zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, katika viwanja vya Mandela mkoani Kilimanjaro Julai 18.2019.
Majaliwa, akishuhudia kijana Nehemia Mhando, akiandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, katika uzinduzi wa daftari hilo, uliyofanyika kwenye viwanja vya Mandela mkoani Kilimanjaro Julai 18.2019.
Majaliwa, akimkabidhi kadi ya kupigia kura, kijana Nehemia Mhando, baada ya kuzindua daftari la kudumu la wapiga kura, katika uzinduzi wa daftari hilo, uliyofanyika kwenye viwanja vya Mandela mkoani Kilimanjaro Julai 18.2019.
Majaliwa, akiwahutubia wananchi waliyohudhuria katika uzinduzi wa daftari la kudumu la wapiga kura, uliyofanyika kwenye viwanja vya Mandela mkoani Kilimanjaro Julai 18.2019.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Walemavu, Jenista Mhagama, akizungumza na wananchi waliyohudhuria katika uzinduzi wa daftari la kudumu la wapiga kura, uliyofanyika kwenye viwanja vya Mandela mkoani Kilimanjaro Julai 18.2019.
Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Walemavu, Jenista Mhagama, katika uzinduzi wa daftari la kudumu la wapiga kura, uliyofanyika kwenye viwanja vya Mandela mkoani Kilimanjaro Julai 18.2019.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇