Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika jani la katani, wakati alipotembelea shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya, wilayani Same katika mkoa Kilimanjaro Julai 19.2019. Anayetoa maelezo ni Meneja Mshauri wa shamba hilo, Ndekirwa Nyari. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ameshika katani iliyokua imeanikwa, wakati alipotembelea shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya, wilayani Same katika mkoa Kilimanjaro Julai 19.2019. Anayetoa maelezo ni Meneja Mshauri wa shamba hilo, Ndekirwa Nyari.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa anakagua marobota ya katani, wakati alipotembelea shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya, wilayani Same katika mkoa Kilimanjaro Julai 19.2019. Kushoto ni Meneja Mshauri wa shamba hilo, Ndekirwa Nyari.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wafanyakazi wa shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya pamoja na wananchi, wakati alipotembelea shamba hilo, wilayani Same Julai 19.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Meneja Mshauri wa shamba wa shamba la katani la Hassan Sisal Estate Makanya, Ndekirwa Nyari pamoja, baada ya kutembelea shamba hilo, wilayani Same Julai 19.2019.
Your Ad Spot
Jul 19, 2019
WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHAMBA LA KATANI LA HASSAN SISAL ESTATE MAKANYA
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇