Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mita ya maji ya malipo ya kabla iliyobuniwa na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Saint Joseph, Khadija Mustapha (kulia), kabla ya kufungua Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Meneja Usajili na Utambuzi (NIDA), Julien Bernard (kulia), kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi, waliyohudhuria kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi, waliyohudhuria kwenye ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, baada ya ufunguzi wa Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, yaliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Jacob Philip Mtabaji, wakati alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja, kufungua Maonesho ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia, jijini Dar es salaam, Julai 17.2019. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Charles Kihampa.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇