Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Afisa Mkuu wa Wateja Wadogo, wa Benki ya NMB, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akimsikiliza Meneja wa Mahusiano ya Serikali Benki ya NBC, William Kallaghe, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakimwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasikiliza watumishi wa Benki ya CRDB, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati Benki ya CRDB (kulia), Boma Raballa, wakati akikagua mabanda, katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, alipomwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo, Julai 23.2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Selemani Jafo katika mkutano mkuu wa 35 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), uliyofanyika katika ukumbi wa Malaika, jijini Mwanza, Waziri Mkuu amemwakilisha Rais Magufuli katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇