LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 4, 2019

WAWILI WAUAWA DAR


Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi wawili ambao hawajafahamika majina yao na kukamata silaha mbili zikiwa na risasi tano ndani ya magazine walizokuwa wanatumia majambazi hao katika majibizano ya risasi kati yao na askari.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages