Supu ni muhimu katika vyakula vya Kituruki.Haijalishi kama mtu ni maskini au tajiri wakati wa mlo wowote supu ni lazima iwepo mezani.Waturuki hunywa supu katika milo yote.Katika kifungua kinywa,mlo wa mchana na vilevile chakula cha usiku.Leo tutazungumzia supu ya “Bulgur “.
Bulgur ni ngano iliyokobolewa na kupondwa vizuri.
Waturuki hutumia Bulgur katika kupika vyakula tofauti ikiwemo kutengeneza na supu.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇