Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) akifuatilia ufunguzi wa mikutano ya Jukwaa la Juu la Kisiasa la Ngazi za Mawaziri chini ya Umoja wa Mataifa inayofanyika New York nchini Marekani. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt. John Jingu na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dk. Leonard Akwilapo.
Waziri Mpango anatarajiwa kuwasilisha kwa mara ya kwanza taarifa ya Tanzania ya Mapitio ya Hiyari ya Utekelezaji wa Malengo Endelevu.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇