LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 9, 2019

SAIDI SALIM BAKHRESA AWASILI KUAGA MIILI YA WAFANYAKAZI WAKE

Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Said Salim Bakhresa amewasili katika eneo la kuwaaga wafanyakazi watano wa Azam Media waliofariki dunia kwenye ajali ya gari jana wakati wakielekea Chato.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages