LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2019

RAIS MUSEVENI AISIFU TANZANIA KWA MADINI

Rais Museveni aisifu Tanzania kwa Madini

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema kuwa Tanzania ina Madini mengi na Uganda kuna madini kadhaa.

Museveni ametoa kauli hiyo Chato Mkoani Geita ambapo amesema nchi ya Uganda ilivumbua mafuta na gesi

''Hapa Tanzania mko na madini mengi, vilevile Uganda kuna madini kadhaa na nyuma kidogo tulivumbua mafuta na gesi, bahati nzuri bomba la mafuta linapita hapa Chato hii ni ishara ya ushirikiano mkubwa,''  amesema Rais Museveni.

Rais Museveni yupo amewasili leo ambapo yupo kwenye ziara binafsi ya siku 1.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages