LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 6, 2019

RAIS KENYATTA AUKUBARI WIMBO ATAKA ATUMIWE

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameukubali wimbo wa Bendi iliyokuwa ikiimba Airport wakati akisindikizwa kurudi nchini kwao Kenya.

Kenyatta amesema "Nimeongea na mheshimiwa Rais nimemwambia kwenye rekodi hii ninataka wimbo huu, itabidi muifanyie rekodi na mnitumie si ndiyo."

Rais Uhuru Kenyatta aliwasili nchini kwa ziara yake binafsi ambapo alifika Wilaya ya Chato  akitokea kijijini Kilimani, nyumbani kwa Rais Magufuli baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili.

Katika ziara yake hiyo, Rais huyoalimjulia hali mama mzazi wa Rais Magufuli ambaye ni mgonjwa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages