Mchezo wa Ngao ya Jamii ambao ndio huashiria ufunguzi rasmi wa ligi, utachezwa August 17, 2019 ambayo ni wiki moja kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mchezo wa Ngao ya Jamii utazikutanisha Simba (bingwa wa ligi kuu) dhidi ya Azam FC (bingwa wa Azam Sports Federation Cup). Uwanja ambapo mchezo huo utachezwa utatangazwa baadaye.
Pia Mchezo wa kwanza wa Watani wa Jadi, Simba SC na Yanga SC kwa msimu ujao 2019/2020 utakuwa raundi ya 13 ambapo itakuwa ni Januari 4, 2020.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇