LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 14, 2019

MAANDAMANO YAIBUKA KWA WASIOKUWA NA VIBALI VYA KUISHI


Maelfu ya waandamanaji nchini Marekani wamepinga operesheni ya Marekani iliyotangazwa na Rais Donald Trump ya kuwakamata na kuwaondoa wahamiaji na familia zao wasiokuwa na vyeti halali vya kuishi nchini humo.

Operesheni hiyo iliyopangwa kuanza wikiendi hii itapelekea maafisa wa kitengo cha udhibiti wa wahamiaji, ICE, kuingia katika mitaa ya miji karibu 10, kuwakamata watu karibu 2,000.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages