Klabu ya Chelsea imeweza kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya klabu ya St Patrick, ambapo ushindi huo unakua wa kwanza kwa Chelsea ikiwa chini ya kocha Frank Lampard.
Magoli ya Chelsea yaliwekwa kambani na Mason Mount, Emerson Palmieri na Olivier Giroud aliyeingia kutokea benchi na kuipatia mabao mawili timu yake.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇