LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 13, 2019

KATIBU MKUU CCM AFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI NA WANACHAMA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally akizungumza jambo na wanachama wa Chama hicho Wilayani Same mara baada ya ziara yake ya siku Nne Mkoa wa Kilimanjaro
 
 Wanachama wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally mara baada ya kufanya ziara ya siku Nne Mkoa wa Kilimanjaro na kuhitimisha ziara hiyo Wilayani Same


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages