LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 21, 2019

JESI LA AFRIKA KUSINI KURUHUSU WANAJESI WANAWAKE KUVAA USHUNGI

Jeshi la Ulinzi la Afrika kusini (SANDF) limetoa taarifa kwamba litatoa ruhusa kwa wanajeshi wanawake ambao ni waumini wa dini ya kiislamu kuvaa ushungi kichwani.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya nchi hio uamuzi huo kutoa uhuru kwa wanajeshi waislamu kuvaa ushungi wakiwa katika mavazi yao rasmi umefuatia mazungumzo baina ya jeshi hilo na baraza la waislamu la Afrika kusini (MJC).

Uamuzi huo unatarajiwa kuanza kutumika mara baada ya wizara husika kuupitisha rasmi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages