LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 24, 2019

GIZA LATANDA NCHINI VENEZUELA

Venezuela inakabiliwa na ukosefu wa umeme.

Kulingana na ripoti za vyombo vya habari Venezuela, hii ni mara ya nne kwa nchi hiyo kupatwa na matatizo ya umeme hasa katika mji mkuu wa Caracas.

Ukosefu wa umeme ulitokea mnamo Machi 7 na kujirudia tena Machi 25.

Ukosefu wa umeme wa Machi 7 ulidumu kwa muda wa wiki moja huku ule wa Machi 25 ukiwa umedumu kwa siku mbili.

Hali ya kisiasa nchini humo inaendelea na utata huku Maduro akiendelea kuliongoza taifa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages