LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 16, 2019

BOBI WINE KUWANIA TIKETI YA URAIS UCHAGUZI MKUU

Bobi Wine kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini Uganda mwaka 2021.

Kyagulanyi Ssentamu  mwanamuziki nyota nchini Uganda na Afrika Mashariki ambae amejipatia umashuhuri wake katika dimba la siasa, katika mahojiano aliofanya na kituo cha habari cha “The Associated Press” amesema kuwa anataraji  kumenyana na rais Museveni katika uchaguzi mkuu utakaofanyika nchini Uganda mwaka 2021.

Bobi wine amesema kuwa "I will challenge President Museveni on behalf of the people," katika mahojiano na  The Associated Press  Jumatatu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages