Jul 7, 2019

AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI MKUTANO WA AU

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu leo  amemuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli  kwenye  ufunguzi  rasmi  wa mkutano wa 12 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) unaojadili  masuala mbalimbali kuhusu  Eneo Huru la Biashara Afrika.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages