Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.7 limetokea katika eneo la kaskazini mashariki mwa Japan siku ya jana na kujeruhi takriban 15 huku maelfu ya watu wakilazimika kuhama makazi yao.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirika la Usimamizi wa Maafa na moto, kati ya waliojeruhiwa tisa walikuwa katika eneo la Yamagata ambalo limeathiriwa zaidi na tetemeko la ardhi,wanne walikuwa wametoka eneo la Niigata,mmoja kutoka Miyagi na mwingine katika jimbo la Ishikawa.
Shirika la hali ya hewa lilisema tetemeko hilo linaweza kusababisha maporomoko ya ardhi na kuonya kuwa kuna uwezekano wa nyumba kuanguka.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇