LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 24, 2019

RAIS TRUMP ASAINI VIKWAZO DHIDI YA IRAN

Rais wa Marekani Donald Trump amesaini vikwazo zaidi dhidi ya Iran huku baadhi ya vikwazo hivyo vikimlenga moja kwa moja kiongozi wa Iran Ali Khamenei.

Marekani na Iran ziko kwenye mgogoro wa kisiasa unaotishia kutokea kwa vita baina ya mataifa hayo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages