LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 26, 2019

MWENYEKITI WA CCM RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA USALAMA NA MAADILI NA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 Mwenyekitiwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akiongoza Kikao cha Usalama na Maadili cha Chama, kilichofanyika leo katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam

Mwenyekitiwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akiwa na  Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein  baada ya kuongoza Vikao hivyo leo katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages