LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 7, 2019

WATANZANIA WACHANGI MILIONI 20 KWA WATOTO WA YEMEN

Balozi wa Yemen Nchini Tanzania Mhe. Fikri Al-sakaf (kushoto) akizungumza jambo wakati wa uhamasishaji wa kuchangia fedha kwa watoto wa Yemen kutokana na machafuko yanayo endele nchini humo ambapo milioni 20 zimepatikana leo Apr 7, 2019 katika harambee hiyo. kulia ni Mkurugenzi wa The Noorain Foundation Sheikh. Said Ahmed Abri. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mkurugenzi wa The Noorain Foundation Sheikh. Said Ahmed Abri akizungumza jambo wakati wa uhamasishaji waharambee ya kuchangia fedha kwa watoto wa Yemen kutokana na machafuko yanayo endele nchini humo ambapo milioni 20 zimepatikana katika harambe hiyo. kuanzi kushoto ni Mwenyekiti wa DYCCC intel committee Aassan Akrabi na Balozi wa Yemen Nchini Tanzania Mhe. Fikri Al-sakaf 
Baadhi ya waandamanaji wakiwa na mabango yenye ujumbe maalum

Mkurugenzi wa The Noorain Foundation Sheikh. Said Ahmed Abri akisoma Dua kabla ya Matembezi hayo  


Baadhi ya waandamanaji wakiwa na mabango yenye ujumbe maalum


Baadhi ya waandamanaji 




















Makmu Mwenyekiti wa Taasisi ya Watanzania wenye Asili ya Yemen wenye fani mbalimbali (TYPF), Dkt. Muzdalifat Salim Abeid akizungumza jambo baada ya harambee hiyo ambayo jumla ya Milioni 20 zilichangwa kwa ajiliya watoto wa Yemen walio katika Nchi hiyo ambayo kwa sasa ipo katika machafuko
Mwenyekiti wa Taasisi ya Watanzania wenye Asili ya Yemen wenye fani mbalimbali (TYPF), Khadija Ali Alwi akizungumza baada ya harambee hiyo ambayo ilianz kwa maandamno ya kuzunguuka baadhi ya mitaa ya Upanga Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages