Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Prof. Joseph Semboja akimkaribisha Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa kuzungumza na wahitimu wa mafunzo ya Stashahada ya Juu ya Masuala ya Uongozi katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa akimpongeza mmoja wa watumishi kutoka Ofisi ya Rais-Utumishi, Leonce Temba baada ya kuhitimu mafunzo ya Stashahada ya Juu ya Masuala ya Uongozi katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇