LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 10, 2019

WABUNGE WA UGANDA WAFANYA ZIARA BUNGENI JIJINI DODOMA

 Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson akizungumza jambo na Mkuu wa Msafara wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda na Mnadhimu Mkuu wa Upinzani wa Bunge hilo Ssemujju Ibrahim Ofisini kwake Jijini Dodoma leo. 
 Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson akizungumza jambo na Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda waliopo ziarani hapa nchini Ofisini kwake Jijini Dodoma leo.
Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na  Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages