LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 3, 2019

UKOSEFU WA MADINI YA FOLIC ACID CHANZO CHA KICHWA KIKUBWA NA MGONGOWAZI

 Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Wazazi Wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi Tanzania (HASBAHT),  Abdulhakim Bayakub (kulia) akizungumza jambo na wadau (hawapo pichani)  wakati wa Mkutano wa uelimishaji kuhusu ulemavu wa kuzaliwa uliofanyika leo Machi 3, 2019 katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili MOI, kuanzia kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho, Fatuma Mahadi na Mweka Hazina wa Chama, Kilumba Wakulichombe  (MOI) (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) 

 

 Mratibu wa Chama cha Wazazi Wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi Tanzania (HASBAHT), Hidaya Alawi akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa wakati wa Mkutano wa uelimishaji kuhusu ulemavu wa kuzaliwa uliofanyika leo Machi 3, 2019 katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili MOI  
Mtaalamu wa Lishe wa MOI Bi Germana Gasper akitoa mada juu ya utapiamlo kwa watoto na wazazi ,katika semina ya wadau wa Vichwa vikubwa na Mgongo wazi
 Wadau mbalimbali wakifuatilia mada katika semina ya wadau wa watoto wenye vichwa vikubwa na Mgongo wazi iliyofanyika MOI leo
Dkt Alpha Kingomela akitoa mada juu ya visababishi vya vichwa vikubwa na Mgongo wazi kwa washiriki wa semina maalum iliyoandaliwa na chama cha wazazi wenye watoto wenye vichwa vikubwa (ASBATH)
Mwenyekiti Taifa wa Chama cha Wazazi Wenye Watoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo Wazi Tanzania (HASBAHT),  Abdulhakim Bayakub akizungumza na wandishi wa habari

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages