LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 11, 2019

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI PROF. KABUDI, IKULU, LEO.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, alipowasili katika ukumbi wa Mkutano, Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashari Tanzania Prof. Palamagamba Kabudi (kushoto) na ujumbe wake wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar, leo. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages