LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 19, 2019

MUFTI MKUU WA TANZANIA ABUBAKARY ZUBEIRY BIN ALLY MGENI RASMI KONGAMANO LA WATAALAM WA AFYA WA KISAYANSI

Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi bin Ali mgeni rasmi katika Kongamano la wataalam wa afya wa kiislamu, Apr 20, 2019 kunzia saa Tatu Asubuhi katika ukumbi uliopo jengo la watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Hayo yamesemwa na Imamu wa Msikiti uliopo ndani ya Hospitali hiyo, Sheikh Husein Swaleh baada ya swala ya ijumaa leo na hutubaba ya Ibada hiyo ilisomwa na Sheikh Abdurrahiim Swaleh.

Ambapo Wataalam hao watakuwa wakibadilishana mawazo na kutakuwa na elimu mbalimbali zitakazo tolewa kuhusu tafiti zao walizo zifanya ili waislamu waweze kunufaika na tukaona tuchukuwe fulsa hii kuwafahamisha kwa kila muislamu apate fulsa hiyo kuja kusikiliza na inawezekana akapatiwa ufumbuzi kwake ikawa ni msaada.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages