LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 10, 2019

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA WARSHA YA REPOA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan amefungua washiriki warsha ya 24 ya Utafiti iliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Masuala ya Umaskini (REPOA) jijini Dar es Salaam leo April 10,2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Warsha ya 24 ya Utafiti wa masuala mbalimbali iliyoandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa masuala ya Umaskini (REPOA) Warsha hiyo imefunguliwa leo April 10,2019 jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages