Madaktari wawili kutoka nchini Cuba waliotumwa kufanya kazi nchini Kenya kwenye Kaunti ya Mandera kilomita 810 kutoka jijini Nairobi wametekwa nyara na washukiwa wa Al-Shabab katika mji wa mpakani wa Mandera.
Raia hao Harera Correa na Landy Rodriguez walitekwa nyara na Magaidi hao walioshambulia saa tatu asubuhi.
Mmoja kati ya walinzi wa madaktari hao ameuwawa huku mmoja akifanikiwa kutoroka. Vikosi vya usalama vinawasaka wanamgambo hao ambao walijaribu kutorokea taifa jirani la Somalia.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇