LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 6, 2019

DK. MNDOLWA AFUNGA WIKI YA WAZAZI LEO MKOANI RUKWA, SUMBAWANGA YAZIZIMA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Umoja wa Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mndolwa akimkabidhi hati ya uadilifu na uaminifu kwa muda mrefu tangu TANU hadi CCM, Chrisant Mzindakaya (kushoto), alipokabidhi hati kwa Wazee waasisi wa CCM, kwenye kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Jumuiya hiyo Kitaifa, katika Uwanja wa Mandela mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo, Aprili 6, 2019. (Picha na Bashir Nkoromo) PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages