LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 11, 2019

DC SAID MTANDA AKABIDHIWA MWENGE WA UHURU ULIPOINGIA WILANI NKASI JANA

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2019 Mzee Mkonga Ali amesisitiza kuwa Mwenge utaendelea kuboresha ukaguzi na usimamizi wa Miradi ya maendeleo ili iwe na tija kwa jamii. Pichani Mkuu wa Wilaya ya Kalambo, Julieth Binyura akimkabidhi mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Said Mtanda, jana Aprili 10, 2019 (Picha na Philimon Mlwanda)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages