LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 24, 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHUHUDIA STARS IKIISASAMBUA UGANDA, KWENYE DIMBA LA TAIFA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezana na Rais wa TFF,  Wallace Karia baada ya mwamuzi kupuliza kipenga cha kumaliza mechi kati Taifa Stars na Timu ya Taifa ya Uganda kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salam, Machi 24, 2019.  Taifa Stars ilishinda 3-0. 
Mshambuliaji wa Taifa Stars, John Boko akichanja mbuga kuelekea lango la Timu ya Taifa ya Uganda katika Mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Machi 24, 2019. Taifa Stars ilishinda 3-1.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishangilia bao la tatu la Taifa Stars katika mechi ya kufuzu kuingia katika michuano ya mataifa ya Afrika iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, Machi 24, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages