LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 19, 2019

WAZIRI JAFO MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI MKOANI ARUSHA

Waziri katika ofisi ya  Rais TAMISEMI  Mh. Suleiman Jaffo Mgeni Rasmi kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani ambapo kilele itakuwa kesho Machi 20, 2019, katika viwanja vya shule ya msingi Meru   (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
 Daktari wa Chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno ,MUHAS Muhimbili Dar es Salaam, Dkt. Kasusu Nyamuryekung'e akiwaonesha mfano wa meno bandia ya kufundishia wanafunzi wa shule za Msingi Uhuru na Makumbusho Arusha wakati wa kuelekea kilele cha 
Maadhimisho ya Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani ambapo kilele itakuwa kesho Machi 20, 2019, katika viwanja vya shule ya msingi Meru, Mgeni Rasmi niWaziri katika ofisi ya Rais TAMISEMI  Mh Suleiman Jaffo.
Daktari wa Chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno ,Manispaa ya Ubungo Dar es Salaam, Dkt. Iddi Khery  akiwafundisha wanafunzi wenye mahitaji maalum wa shule ya msingi Patandu,wilayani Arumeru Arusha jinsi ya kutunza usafi wa kinywa na meno wakati wa kuelekea 
kilele cha Maadhimisho ya siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani keso Machi 20, 2019, katika viwanja vya shule ya msingi Meru, Mgeni Rasmi niWaziri katika ofisi ya  Rais TAMISEMI  Mh Suleiman Jaffo.

Wananchi wakisubiri kupatiwa huduma inyotelewa na Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno katika viwanja vya Shule ya Msingi Meru Arusha Arusha wakati wa kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani ambapo kilele itakuwa kesho Machi 20, 2019, katika viwanja vya shule ya msingi Meru, Mgeni Rasmi niWaziri katika ofisi ya Rais TAMISEMI  Mh Suleiman Jaffo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages