LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 19, 2019

SERIKALI YA TANZANIA YATOA MISAADA YA MADAWA NA CHAKULA KWA MSUMBIJI, MALAWI NA ZIMBABWE ZILIZOKUMBWA NA MAADA YA MAFURIKO

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakagua madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa msaada kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika baada ya kuwakabidhi misaada ya madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakiwa na Balozi wa Glad Chembe Munthali, Balozi wa Msumbiji Mhe. Monica D.C. Mussa na Balozi Mdogo wa Zimambwe nchini Mhe. Martin Tavenyika wakipokea misaada ya madawa na vyakula ambavyo serikali ya Tanzania imetoa kwa nchi zao ambazo zimekumbwa na maafa ya mafuriko kufuatia tufani kali iliyolikumba eneo hilo la kusini mwa Afrika.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages