
Rais
Mstaafu wa awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine
mbalimbali wamewasili nyumbani kwa Marehemu Ephraim Kibonde Mbezi
Africana jijini Dar es salaam kwa ajili ya kushiriki ibada ya kuaga. Mwili
unatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇