Spika wa Bunge, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Job Ndugai akicheza Ngoma za Utamaduni wa Watu wa Mkoa wa Unguja wakati akikagua Ngoma hizo katika Ofisi ya CCM Mkoa wa kaskazini Unguja tukio lililotokea leo tarehe 26 Machi, 2019 katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Job Ndugai akiweka jiwe la msingi Tawi la CCM Muembe Majogoo kabla ya kuzungumza na viongozi wa Matawi, Wadi na Jimbo leo tarehe 26 Machi, 2019 katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Job Ndugai akizungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja na Wajumbe wa Baraza Kuu ya Jumuiya za Chama Mkoa na Wilaya zake alipowatembelea leo tarehe 26 Machi, 2019 katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge, Mlezi wa CCM Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe. Job Ndugai (kulia)akimsikiliza Mwakilishi wa Jimbo la Chaani, Ndg. Nadir Abdulatif akielezea changamoto mbali mbali ambazo wana
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇