LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 26, 2019

MJANE WA WAZIRI MKUU WA ZAMANI EDWARD SOKOINE AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE

Mama Maria Nyerere na akiwa na mgeni wake, mjane wa Waziri Mkuu wa zamani, Mama Mama Napono Sokoine aliyemtembelea nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam, jana. Wengine kutoka kushoto ni msaidizi wa Mama Maria, Wambura; Mbunge wa Viti Maalumu Namelok Sokoine, Elysia Sokoine na Ninai Sokoine. Mbuzi anayeonekana ni zawadi ya Mama Sokoine aliyopelekea Mama Maria. 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages