Shirika la ndege la Afrika Kusini, South African Airways (SAA) limemfukuza kazi rubani wake mkongwe na mzoefu zaidi baada ya kugundua kuwa alikuwa ametumia vyeti feki kuajiriwa mwaka 1994.
Hadi alipogunduliwa, bwana William Chandler alikuwa amehudumu katika shirika hilo la ndege SAA kama rubani kwa miaka 20 bila kupatwa na mkasa wowote kazini.
Hadi alipokuwa katika moja ya safari zake kuelekea Ujermani ndipo akagundulika, shirika hilo kwa sasa limekwenda mahakamani ikimtaka awarudishie mamilioni ya pesa aliyolipwa kama mshahara alipokuwa akihudumu kwenye shirika hilo.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇