LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 6, 2019

RAIS DK. MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KANISA KUU LA MTAKATIFU JOSEPH JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Paroko Msaidizi wa Parokia ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Joseph Mosha wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa ameongozana na mkewe Mama Janeth Magufuli, akiagana na Padri Joseph Matumaini nje ya  Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Joseph Mosha baada ya kuhudhuria  Ibada ya Jumatano ya Majivu kanisani hapo leo Machi 6, 2019 Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages