Ofisi ya Mufti wa Zanzibar, imetakiwa kuzisaidia madrasa zote visiwani humo ili kukabiliana na uhaba wa fedha za uendeshaji.
Naibu Waziri wa Nchi Afisi ya Rais, Katiba, Sheria na Utumishi wa Umma na Utawala bora, Khamis Juma Maalim, amesema kuwa serikali iko mstari wa mbele kuzisaidia madrasa mbalimbali Unguja na Pemba sambamba na kutumia fedha za misaada kutoka kwa wafadhili ili kuzifanya ziweze kutoa huduma bora.
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇