LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 7, 2019

EPHRAIM KIBONDE WA CLOUDS FM AFARIKI DUNIA, LEO ALFAJIRI

Mtangazaji maarufu wa Clouds Media, Ephraim Kibonde amefariki dunia.

Taarifa zimesema amefariki leo alfajiri akiwa katika Hospitali ya rufani ya Bugando jijini Mwanza ambako alipelekwa kwa ajili ya matibabu ya presha.

Kifo cha Kibonde kimetokea mwaka mmoja tangu mkewe alipofariki dunia Junior 2018, na pia wiki moja baada ya kufariki boss wake, Ruge Mutahaba ambapo Kibonde alishiriki kikamilifu katika shughuli za msiba.

Pia kifo hiki kimeongeza jeraha kwenye tasnia ya habari na hasa  kwenye familia ya Clouds Media.

Pichani no Kibonde akiwa na mkewe enzi za uhai wao.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages