Chama cha Wataalam wa Afya ya Kinywa na Meno kimetoa huduma ya Uchunguzi na Elimu ya Kinywa na Meno na matumizi sahihi ya upigaji mswaki katika kutunza kinywa na meno bila malipo Hospitali ya Taifa Muhimbili leo na kesho Machi 29, 2019. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mwanafunzi Mteknolojia wa viungo bandia vya Kinywa na Meno Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Amadeo Kabagoye (kushoto) akizungumza jambo na mwananchi aliyefika kupata huduma hiyo
Watoa huduma wakiendelea kuwahudumia wananchi waliojitokeza Hospitalini hapo
Madaktari wakiendelea kutoa huduma hiyo Bila malipo iliyo andaliwa na Chama cha Wataalam wa Afya ya Kinywa na Meno katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na Skuli ya Meno Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno Muhimbili (MNH) akizungumza jambo na wanahabari
Wananchi wakisubiri kupata huduma
Baadhi ya Wananchi wakijiandikisha ili kupata huduma
mgojwa aliyekuwa na tatizo la jino ambalo halikutibiwa kwa wakati
Your Ad Spot
Mar 28, 2019
Home
Unlabelled
CHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO CHATOA HUDUMA YA UCHUNGUZI NA ELIMU YA KINYWA NA MENO MUHIMBILI
CHAMA CHA WATAALAM WA AFYA YA KINYWA NA MENO CHATOA HUDUMA YA UCHUNGUZI NA ELIMU YA KINYWA NA MENO MUHIMBILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Heya i am for the first time here. I came across this board and I find It really useful & it helped me out much.
ReplyDeleteI hope to give something back and aid others like you aided me.