LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 6, 2019

BURUNDI YAFUNGA OFISI YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI HUMO

Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imefunga ofisi yake nchini Burundi kufuatia agizo la serikali ya Bujumbura la kufanya hivyo mara moja. Burundi imekuwa ikisuguana na ofisi hiyo ya Umoja wa Mataifa tangu mwaka 2015 baada ya kuripuka mzozo wa kisiasa nchini humo. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa..

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages