Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe leo February 14,2019
amezindua nembo maalumu ya Fainali za Afrika za Vijana chini ya miaka 17 (AFCON-U17).
Fainali hizo zitafanyika April mwaka huu na Tanzania ikiwa nchi mwenyeji kupitia kikosi
chake cha Seregeti Boys.
![]() |
| Timu ya Taifa ya Vijana chini ya Miaka 17, Serengeti Boys inaendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa JMK Park kujiandaa na Fainali za Afrika kwa Vijana U17 (AFCON). |


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇