Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ametoa miezi mitatu kwa Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania kuhakikisha anapeleka maafisa wa uhamiaji katika mipaka yote ili watanzania wanaoenda nchi za jirani mara kwa mara wapate passport za kudumu kwa miaka kumi ili waondokane na usumbufu unaotokana na hati za dharura huku Akitoa mwezi Mmoja kwa Mkoa wa Arusha zoezu hilo liwe limefanyika.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHU KUSUBSCRIBE
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇