Waziri na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Urambo Magharibi mkoani Tabora Alhaj, Profesa Juma Athuman Kapuya amefunga ndoa na mpenzi wake Mwajuma Mwiniko
Ndoa hiyo kati Prof Kapuya mwenye umri wa miaka 74 na binti huyo anayedaiwa kuwa na umri wa miaka 25 imefungwa Wilayani Urambo Mkoani Tabora siku ya jana tarehe 17 Februari, 2019
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇