Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla amesema kuanzia sasa Serikali ya Tanzania haitaruhusu usafirishaji wa wanyama hai nje ya nchi.
Kauli hiyo imefuta agizo la Wizara hiyo ambayo iliweka zuio la miaka mitatu na Mei, 2019 ilikuwa ndiyo mwisho wa zuio hilo.
Kigwangalla ametoa kauli hiyo bungeni jijini Dodoma leo Ijumaa Februari 8, 2019 wakati akijibu swali la nyongeza la mbunge wa Muheza (CCM), Balozi Adadi Rajabu.
Mbunge huyo alitaka kujua Mei, 2019 Watanzania wataanza kusafirisha wanyama hai ikiwemo akina mama wa kijiji cha Fanusi wilaya ya Muheza ambao husafirisha vipepeo.
"Niseme wazi kuanzia sasa hatutaruhusu wanyama hai kusafirishwa kwenda nje ya nchi na wale waliokuwa wanafanya biashara hiyo watafute njia nyingine," amesema Kigwangalla.
Katika swali la msingi Rajabu aliuliza ni lini wananchi wa kijiji cha Fanusi wataruhusiwa kusafirisha vipepeo nje ya nchi kwa kuwa si wanyama.
Hello there, just became alert to your blog through Google, and found
ReplyDeletethat it is truly informative. I'm going to watch out for brussels.
I will be grateful if you continue this in future. Many people
will be benefited from your writing. Cheers!
Hi there to all, as I am really keen of reading this webpage's post to be updated regularly.
ReplyDeleteIt includes nice material.
Gran artĂculo
ReplyDeletela verdad es que me parece muy interesante lo que dices,
hay personas que no entienden la importancia de este tema.
Espero que con el tiempo se actualicen y se tomen en serio temas como la comunicaciĂłn, media,
etc...
gracias por tu aportaciĂłn